Achunguze kwanza jinsia ya hayo majini kabla hajazama 😁Sasa hayo majini ndio yamekupenda wewe hayawezi kukufanya chochote
https://www.facebook.com/Habari zenu wadau.
Kwenye moja na mbili,juzi kati nkaopoa demu moja mkali sana wa kisukuma.ila kwenye kuchati leo kaniambia ana tatizo la majini.
Wazee nilikuwa nimepanga kuichapa leo night.ila kabla sijaiomba nimeona nije kwenu hapa jamvini mshe uzoefu wenu isijetokea ile ya kafia ghetho. Nisijejichanganya nkampa blowjob akaing'ata kabisa aise.
Kwa yeyete aliyewahi kudate na binti mwenye mapepo aliweza kuhandle vipi hiyo hali? Kwa maana nimeingiwa na woga.
Nawewe geuka jini.Habari zenu wadau.

Umenikumbusha mbali sana nilipata mtoto mmoja wa kizanzibari mpemba shida ilikuwa ni hayo madude basi kila nikipanga nae mihaadi muda wa kuingia logde dogo anaishia mlanģoni eti majini yanataka kupanda nikaona hii kali kama mara mbili amenitia hasara..Habari zenu wadau.
Kwenye moja na mbili,juzi kati nkaopoa demu moja mkali sana wa kisukuma.ila kwenye kuchati leo kaniambia ana tatizo la majini.
Wazee nilikuwa nimepanga kuichapa leo night.ila kabla sijaiomba nimeona nije kwenu hapa jamvini mshe uzoefu wenu isijetokea ile ya kafia ghetho. Nisijejichanganya nkampa blowjob akaing'ata kabisa aise.
Kwa yeyete aliyewahi kudate na binti mwenye mapepo aliweza kuhandle vipi hiyo hali? Kwa maana nimeingiwa na woga.
Hatari sana na halafu hajatahiriwa maajini lazima yapandeJiandae kuwa masikini mtarajiwa...
Yana wivu balaa...
Nasikia majini hua wanaziba isipiteAkiwa na majini haipiti ama tatizo ni nini