Nimepata demu mkali balaa ila ana majini. Naomba ushauri wenu

Itategemea kama hayo majini ni mazuri au mabaya.
Pia hayo majini ni aina gani? Mfano jini mahaba,cheketu au makata?

Ni vizuri ukawa na uwezo wa kujikinga dhidiya majini ,wasije kukuingia wakati wa tendo.
Hakuna jini mzuri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
chukua mfupa wa mahi wetu
 
Ndio ila dada sasa mumewe akawa anaona anamnyima akawa anamfanya, anasema alikuwa anaumwa Hadi wiki, kama kidonda kipo ndani, ni story ndefu na ya kweli.
Hatari sana hii na yote hayo alikua anayafanya jini
 
Mie namfahamu jamaa ali-date binti piece kali ina majini. Ila sasa siwezi kukupa contact zake, maana alipoichapa tu night yote kesho yake alikufa. Labda nikuambie alipozikwa sijui?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…