Nimepata demu mkali balaa ila ana majini. Naomba ushauri wenu

Anaugua onvo onvo😅😅😅
 
Huo mwandiko ni wake au ndo hayo majini yamemsaidia kuandika,maana sijaelewa chochote hapo?
 
Kuna siku utajikuta unauterezi kwenye exhaust ,ukienda kudivua ngoma inashuka free
 
Kujiunga freemason ukiwa na majini yako ni bure tu
 
Ah!!! Sijui kwanini mademu wakali wa wanajf huwa wanamiandiko mibovu kiasi hiki
 
Huo mwandiiko wa msukuma mnaelewana vp
 
Tuache mada za kitoto kwasasa taifa Lina janga la ccm
 
Wagonge wote pamoja na Jini lake!
 
Nimejaribu kusoma alichoandika hapa nahemea juu juu

Halafu hakuna demu mkali kwenye muandiko kama huu
 
Nenda kamla haluna majini hizo ni nyege mshindo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…