Nimepata dharura nahitaji mkopo wa haraka sana

Nimepata dharura nahitaji mkopo wa haraka sana

blakafro

Senior Member
Joined
May 1, 2014
Posts
152
Reaction score
104
UPDATE 21 NOV, 2019 12:57PM

Wakuu bado sijafanikisha, watu ambao wanasema wanatoa mikopo humu hawapo serious kabisa, naomba kama kuna mtu yupo serious anatoa mkopo kwa dhamana ya kadi ya gari anicheki PM au anitext 0693201371

___________________________________

Wakuu kwema?

Husikeni na kichwa cha habari hapo juu. Namepata dharura kidogo nashida na kiasi cha Tsh 700,000 haraka iwezekanavyo kama kuna mtu binafsi humu anatoa mikopo kwa riba na masharti nafuu basi tuchekiane au kama kuna kampuni mnayoifahamu wanatoa mikopo ya dharura haraka naombeni mniunganishe wakuu.

Nipo tayari kurejesha ndani ya miezi miwili napatikana Dar es salaam.

Nawasilisha.
 
Dhamana yako ni nini? Kama unayo Hati ya nyumba, card ya Gari utapata
 
Wakuu bado sijafanikiwa anaeweza kutoa mkopo kwa dhamana ya kadi ya gari.
 
Kadi za magari hamkawii kusema imepote, mie nipe gari na kadi yake nikupe unarudisha 1M naahidi kutotembelea gari yake naipaki sehemu hadi urudishe mkopo.
 
Wakuu bado sijafanikisha, watu ambao wanasema wanatoa mikopo humu hawapo serious kabisa, naomba kama kuna mtu yupo serious anatoa mkopo kwa dhamana ya kadi ya gari anicheki PM au anitext 0693201371
 
Back
Top Bottom