Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Wakuu kama mada inavyojieleza, kuna nimepata dili la kupekeka kirosho kilo 500, ni wapi naweza kupata kwa bei ya jumla?
Tax itakuwa bei gani?
Nahitaji kusafirisha kwa njia ya meli.
Nipo Dar es salaam, msaada wenu tafadhali.
Kama hujui zinapopatikana umepokea kazi ya nini?
NimekupataKorosho zipo zinapatikana jumla na reja reja bei ni moja, tupo Mbagala Rangi Tatu;
1) Korosho ghafi za maganda kilo Tsh. 3,000
2) Korosho nyeupe kilo Tsh. 14,000
3) Korosho za brown zilizookwa kilo Tsh. 15,0000
Korosho zinatoka Tandahimba Mtwara
Kwa mawasiliano +255 615 958 270P
Kila la kheri kwake
Anakubali biashara ambayo hajui ataifanyaje...Kila la kheri kwake
Korosho ni Mali ya Serikali mkulima analima tu km yalivyo Madini lazima upite kwenye mkono wa Serikali kwanza upate vibari ukifanya kinyume ni Sawa unatorosha Madini huko wanaita KangombaNahitaji kusafirisha kwa njia ya meli.
Nipe muongozo mkuu.Korosho ni Mali ya Serikali mkulima analima tu km yalivyo Madini lazima upite kwenye mkono wa Serikali kwanza upate vibari ukifanya kinyume ni Sawa unatorosha Madini huko wanaita Kangomba
Tafuta vibari anzia Wizara ya KILIMO wakupe MWONGOZO hatua kwa hatuaNipe muongozo mkuu.
Hili bandiko Lina harufu ya utapeli sasa sijui ni mtoa mada ndo amewekwa Kati na wajanja wampige au yeye ndo anataka kupiga watu.
sawaTafuta vibari anzia Wizara ya KILIMO wakupe MWONGOZO hatua kwa hatua
Utatapeliwa, sheria zipo wazi.Wakuu kama mada inavyojieleza, kuna nimepata dili la kupekeka kirosho kilo 500, ni wapi naweza kupata kwa bei ya jumla?
Tax itakuwa bei gani?
Nahitaji kusafirisha kwa njia ya meli.
Nipo Dar es salaam, msaada wenu tafadhali.
Anapeleka kwa meliIndia ni ya pili baada ya Ivory Coast kwa zao la Korosho duniani
Halafu unasema umepata dili la kilo 500 narudia kilo 500 yaani hizo kilo ni gunia 5 tu eti upeleke India
Aidha wewe ndio unatafuta kupiga mtu humu au wewe ndio unapigwa maana hakuna biashara ya kilo 500 kupeleka nje ya nchi tena nchi inayouza duniani
Kama ni tons of Cashews sawa ila hapo sidhani kama uko serious