Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Tani 500 amaAnapeleka kwa meli
Maana kilo 500 ni ndege
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tani 500 amaAnapeleka kwa meli
Shangaa na weweKilo 500 ni mzigo mdogo sana kusafirisha kwa meli
Namba 3 na4 ni grade gani?Korosho zipo zinapatikana jumla na reja reja bei ni moja, tupo Mbagala Rangi Tatu;
1) Korosho ghafi za maganda kilo Tsh. 3,000
2) Korosho nyeupe kilo Tsh. 14,000
3) Korosho za brown zilizookwa kilo Tsh. 15,0000
Korosho zinatoka Tandahimba Mtwara
Kwa mawasiliano +255 615 958 27
India ni ya pili baada ya Ivory Coast kwa zao la Korosho duniani
Halafu unasema umepata dili la kilo 500 narudia kilo 500 yaani hizo kilo ni gunia 5 tu eti upeleke India
Aidha wewe ndio unatafuta kupiga mtu humu au wewe ndio unapigwa maana hakuna biashara ya kilo 500 kupeleka nje ya nchi tena nchi inayouza duniani
Kama ni tons of Cashews sawa ila hapo sidhani kama uko serious
Hapana hapa aidha ameweka kiutani au anataka kumpiga mtu au yeye ndio fursaNimekumbuka mbali sana,kuna jaama yangunalipata safari ta kikazi kwenda pakistani,akabeba korosho kama zawadi za jamaa zake kule pakistani.kufika kule akakuta korosho ni nyingi,nzuri bei ndogo kabisa kabisa.
So ni lazima maswali yawe mengi unapata order ya nusu tani kupeleka india kosrosho,kweli inaingia akilini.
au ni majaribio wanataka wajue kama inawezekana kununua korosho nje ya vyama vya ushirika toka bongo
Korosho zote ni grade one; kubwa, nene, hazina madoa, hazina vipande.Namba 3 na4 ni grade gani?
Hizo za brown kilo ni 15000 au umekosea kuandika 150000Korosho zote ni grade one; kubwa, nene, hazina madoa, hazina vipande.
Hapo hamna kazi, mswahili kabisa aseme dili lake ukumbini jua hilo ni jau.Kama hujui zinapopatikana umepokea kazi ya nini?
Typing error mkuuHizo za brown kilo ni 15000 au umekosea kuandika 150000
Bei nzuriTyping error mkuu
Ni Tsh. 15,000 (elf 15)
Sawa mkuu, brown nitaweka picha kesho. Hizo ni nyeupe grade one Tsh. 14,000 kwa kilo. Delivery Bure ndani ya Dar es salaam.Bei nzuri
Ugkiweka ata picha ya sampo mkuu
Nyeupe na brown
sawa kazi nzuriSawa mkuu, brown nitaweka picha kesho. Hizo ni nyeupe grade one Tsh. 14,000 kwa kilo. Delivery Bure ndani ya Dar es salaam.
Usimbishie na kumtuhumu mwenzako kusema uongo kabla haujahoji Details zaidi. Ni vipi kama hizo korosho labda ameagiziwa na Amita bachan, Sharukhan, au mitsumi chakaraboti kwaajiri ya kutafuna nyumbani. [emoji23][emoji23]India ni ya pili baada ya Ivory Coast kwa zao la Korosho duniani
Halafu unasema umepata dili la kilo 500 narudia kilo 500 yaani hizo kilo ni gunia 5 tu eti upeleke India
Aidha wewe ndio unatafuta kupiga mtu humu au wewe ndio unapigwa maana hakuna biashara ya kilo 500 kupeleka nje ya nchi tena nchi inayouza duniani
Kama ni tons of Cashews sawa ila hapo sidhani kama uko serious
Kilo 500 au tani miatano.? It's a peanutWakuu kama mada inavyojieleza, kuna nimepata dili la kupekeka kirosho kilo 500, ni wapi naweza kupata kwa bei ya jumla?
Tax itakuwa bei gani?
Nahitaji kusafirisha kwa njia ya meli.
Nipo Dar es salaam, msaada wenu tafadhali.