Nimepata dili la kupeleka korosho India kilo 500, wajuzi nipeni ujanja

Namba 3 na4 ni grade gani?
 

Nimekumbuka mbali sana,kuna jaama yangunalipata safari ta kikazi kwenda pakistani,akabeba korosho kama zawadi za jamaa zake kule pakistani.kufika kule akakuta korosho ni nyingi,nzuri bei ndogo kabisa kabisa.

So ni lazima maswali yawe mengi unapata order ya nusu tani kupeleka india kosrosho,kweli inaingia akilini.

au ni majaribio wanataka wajue kama inawezekana kununua korosho nje ya vyama vya ushirika toka bongo
 
Hapana hapa aidha ameweka kiutani au anataka kumpiga mtu au yeye ndio fursa
We never know
 
Kilo 500 to India plus meli. Hii kali. Ila ungesema unapeleka Lusaka Zambia. Ningesema All the best.


KAZI ni kipimo cha UTU
 
Kupata soko nje ya nchi ni lazima utoe information za kina. Na hizo information lazima ziku prompt kufanya research ya kina. Sasa nyie sijui mnapataje soko kirahisi hivyo!!
 
Una Vibali ? Katika hizi venture za mazao ya Biashara kuna utitiri wa red tapes balaa (Vitu kama Chai, Kahawa, Korosho kuna mpaka Bodi za haya Mambo).... Tena kama ni korosho Gafhi , na hapo ni kuanzia mzigo wa tani 50 ambapo cost inakuwa kama 20m; Nadhani ikiwa finished / processed product procedures zinapungua...

Cheki hapo chini kuna proceducers kama 43 na taasisi kama 20 involved na vibali / documents kama 40

 
Bei nzuri
Ugkiweka ata picha ya sampo mkuu
Nyeupe na brown
Sawa mkuu, brown nitaweka picha kesho. Hizo ni nyeupe grade one Tsh. 14,000 kwa kilo. Delivery Bure ndani ya Dar es salaam.
 

Attachments

  • IMG-20240511-WA0003.jpg
    52.8 KB · Views: 9
  • IMG-20240511-WA0000.jpg
    48.7 KB · Views: 8
  • IMG-20240511-WA0007.jpg
    79 KB · Views: 9
Usimbishie na kumtuhumu mwenzako kusema uongo kabla haujahoji Details zaidi. Ni vipi kama hizo korosho labda ameagiziwa na Amita bachan, Sharukhan, au mitsumi chakaraboti kwaajiri ya kutafuna nyumbani. [emoji23][emoji23]
 
Wakuu kama mada inavyojieleza, kuna nimepata dili la kupekeka kirosho kilo 500, ni wapi naweza kupata kwa bei ya jumla?

Tax itakuwa bei gani?

Nahitaji kusafirisha kwa njia ya meli.

Nipo Dar es salaam, msaada wenu tafadhali.
Kilo 500 au tani miatano.? It's a peanut
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…