Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 May 16, 2024 #41 Zemanda said: Usimbishie na kumtuhumu mwenzako kusema uongo kabla haujahoji Details zaidi. Ni vipi kama hizo korosho labda ameagiziwa na Amita bachan, Sharukhan, au mitsumi chakaraboti kwaajiri ya kutafuna nyumbani. [emoji23][emoji23] Click to expand... Aisee anisamehe bure Inawezekana pia wanataka special za kutoka bongo Si unajua vitu vyetu ni adimu sana na vingi tunavyo sisi tu
Zemanda said: Usimbishie na kumtuhumu mwenzako kusema uongo kabla haujahoji Details zaidi. Ni vipi kama hizo korosho labda ameagiziwa na Amita bachan, Sharukhan, au mitsumi chakaraboti kwaajiri ya kutafuna nyumbani. [emoji23][emoji23] Click to expand... Aisee anisamehe bure Inawezekana pia wanataka special za kutoka bongo Si unajua vitu vyetu ni adimu sana na vingi tunavyo sisi tu
M mwanyaluke JF-Expert Member Joined Jan 22, 2015 Posts 704 Reaction score 2,435 May 16, 2024 #42 Hujapata Hilo dili , yaani upate Dili halafu usijue wapi pa kwanzia
mr pipa JF-Expert Member Joined Jul 26, 2021 Posts 3,074 Reaction score 6,472 May 16, 2024 #43 Gunia tano nje ya nji au sio??