Usimtishe bana. .Mwombee Mungu na azidi kumtegemea.Kamwe usiwaamini watu weupe!
Mzungu hawezi kuwa mwema sana,eti akakuonea huruma,akusaidie!
Well,wanaenda nawe Finland kufanya nini?
Usije jikuta unaenda kufanyishwa kazi za kudhalilishwa kama "porn" na kujuta!
Rudi shule dogo
Kamwe usiwaamini watu weupe!
Mzungu hawezi kuwa mwema sana,eti akakuonea huruma,akusaidie!
Well,wanaenda nawe Finland kufanya nini?
Usije jikuta unaenda kufanyishwa kazi za kudhalilishwa kama "porn" na kujuta!
Rudi shule
dunia ina mambo sana,unayoyasema yapo japo si kwa kila umdhaniaye!dogo kamata fursa mtangulize mungu!