Nimepata furaha ya ghafla baada ya Morocco kuwatoa Taifa stars kwenye robo fainali ya CHAN 2024

Status
Not open for further replies.

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
12,151
Reaction score
44,120
Naamini sio mimi tu, tupo wengi, ghafla tu nimepata furaha na faraja kubwa baada ya kushuhudia Taifa stars ikipata kipigo mbele ya Morocco baada ya kuchapwa goli moja kwa bila na kutolewa hatua ya robo fainali ya CHAN 2024.

Hata sijui ni kwanini, lakini hii hali imetokea automatic tu.
Natamani iwe hali endelevu.
 
Wana mtandao wamempa mama awape wachezaji kila mmoja 20 milioni na viwanja viwili viwili😆
 
 
Wa 2 mimi...Samia Must Go
Samia MF..
 
Huu unaitwa 'uadui wa nafsi' yaani mtu kujichukia
 

Mimi Pia Nimebubujikwa Na Machozi Ya Furaha,
Maana Morocco Wametufikia.
 
sababu kuu inayofanya watanzania wengi kudis vitu vetu ni siasa kuingilia kila kitu , taifa stars wangeshinda kuna watu wangetumia hii kama polical mileage kusukuma agenda zao na huku kuna watu wengi wakitaka nchi yao iendeshwe vipi ,kipi kisifanywe kipi kifanywe wanapuuzwaaaa. So what are you expecting njia pekee ni kuitisha maridhiano ya kitaifa ili kuliponya hili taifa tuwe kitu kimoja otherwise huko mbele tuendako picha sio nzuri .
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…