Chadema hovyo kabisa, uchaguzi mmesusa na michezo nayo mmesusa. Sasa mnataka kushiriki nini?Naamini sio mimi tu, tupo wengi, ghafla tu nimepata furaha na faraja kubwa baada ya kushuhudia Taifa stars ikipata kipigo mbele ya Morocco baada ya kuchapwa goli moja kwa bila na kutolewa hatua ya robo fainali ya CHAN 2024.
Hata sijui ni kwanini, lakini hii hali imetokea automatic tu.
Natamani iwe hali endelevu.
Takataka nyingine yakupeleka ignore list hiiKumalamaako
Mwezi ujao tarehe za katikatiSimba na yanga day ni lini
sawa Mwarabu wa Morocco.Naamini sio mimi tu, tupo wengi, ghafla tu nimepata furaha na faraja kubwa baada ya kushuhudia Taifa stars ikipata kipigo mbele ya Morocco baada ya kuchapwa goli moja kwa bila na kutolewa hatua ya robo fainali ya CHAN 2024.
Hata sijui ni kwanini, lakini hii hali imetokea automatic tu.
Natamani iwe hali endelevu.
Faida ya kuonyesha hisia za kizalendoUnapotukana unapata faida gani.
Nimefurahi sanaNaamini sio mimi tu, tupo wengi, ghafla tu nimepata furaha na faraja kubwa baada ya kushuhudia Taifa stars ikipata kipigo mbele ya Morocco baada ya kuchapwa goli moja kwa bila na kutolewa hatua ya robo fainali ya CHAN 2024.
Hata sijui ni kwanini, lakini hii hali imetokea automatic tu.
Natamani iwe hali endelevu.
Hata hawa wajaza mabango ya kisiasa wanastahili kupuuzwa. Taifa stars imetoa mwelekeo wa watuSimba na yanga day ni lini