Nimepata furaha ya ghafla baada ya Morocco kuwatoa Taifa stars kwenye robo fainali ya CHAN 2024

Status
Not open for further replies.
Kwa mawazo haya upinzani bado una safari ndefu sana๐Ÿ˜‚

Cc: Mimi Wewe Yule
 
Tupo wengi sanaaaaaaaa๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Yaani leo Morocco wamenifurahisha sana!!.....piga mi ccm
 
Nimekuelewa unacholenga kukieleza; na hapo hapo nikiona kuwa unamshauri Samia azidishe juhudi za kunyang'anya uongozi na akikamilisha hilo "aitishe maridhiano ya kitaifa ili kuliponya hili taifa ili tuwe kitu kimoja..."!

Mambo ya ajabu sana ndani ya taifa letu hili!
 

Leo watuache tusali Novena yetu. Tumuombe Mungu atende haki kati yetu.

Tupate viongozi bora wenye kutumikia wananchi. Hawa wanaoila kwa upole washindwe na kulegea
 
Mkuu utafaidika na nini?
 
safi, tumeokoa hela zetu ingawa atazitapanya pengine
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ