MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Mh daktari ondoa hiyo dhana kichwani ,mwenzako nilidhani hivyo na siku moja nikkampa dada lift nikanyooka kwenye point ya kutaka tufanye ndani ya gari dada akawa Kama anakubali Kama anakataa Mara kasema poa ,kumbe mitaa tuliyokuwepo ni mwenyeji kiasi katuma meseji bila Mimi kujua kwa wapambe nuksi .Ukishakua na gari ni marufuku kutongoza, madam umempa lift, mfanyie utani utani wenye ukweli ,shusha viti, mle .
Turudi kwenye Hoja ya msingi, Unaweza kutongoza demu mwenye Gari Kali kuliko yako??.
Nimeaimamisha gari na abdala kichwa wazi ameahasema hapa hatutoki bila mwali .
Mengine siku nyingine Ila kwa ufupi ni kuwa walinipiga vibao wale wanakijiji