Nimepata gari ya laki mbili

Nimepata gari ya laki mbili

attachment.php

Mwenye gari hii ani- PM, tuelewane bei.
 
nimepata zali ya gari kwa kiasi cha laki mbili. Aina ni mark ii muundo wa kizamani pia linatembea.

safi sana mkuu.
Sasa sikia mimi ni fundi wa magari ni pm nikupe namba zangu.
Gari yako kwa vyovyote itakuwa ni mark ii gr,ingine yake ni 1s ni 6 piston old system wire, ina kabureta ya lucas, diff spring lala, gear box manual,pia hata rangi yake gari ni nyeupe.
Broo nipe kazi spea zipo hata ukitaka roter utapata
 
alokuuzia anayo mengi? mwambie na mi nataka la laki na nusu?
 
Hata mie ninalo limaki two pale nje
limebakia ni watoto wanashinda wakichezea humo;

Kama una laki mbili ingine leta nikupe tena gari la pili, loooh.
 
Hata mie ninalo limaki two pale nje
limebakia ni watoto wanashinda wakichezea humo;

Kama una laki mbili ingine leta nikupe tena gari la pili, loooh.

Mamndenyi hapo utakuwa hujanipunguzia bali umeniongeza tatizo
 
safi sana mkuu.
Sasa sikia mimi ni fundi wa magari ni pm nikupe namba zangu.
Gari yako kwa vyovyote itakuwa ni mark ii gr,ingine yake ni 1s ni 6 piston old system wire, ina kabureta ya lucas, diff spring lala, gear box manual,pia hata rangi yake gari ni nyeupe.
Broo nipe kazi spea zipo hata ukitaka roter utapata

Sawa mkuu nitakutafuta! Lkn nahisi we ndo ulie uza
 
nimecheka mpk machozi thanks mtoa mada kwa kusaidia kuniongezea siku za kufurahi
 
Daaaah sio umeuziwa scraper kweli mkuu??
 
usiwasikilize mwaya mimi laki mbili yenyewe imeshaisha, sasa watakupa maneno halafu urudishe. tumia mkoko mwaya.
 
Back
Top Bottom