Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,007
- 15,216
ok.Kuna maelezo kuwa kutoka kizimkazi kuwa huu mtando wa JF na mmiliki wake wataunganishwa kwenye tuhuma.
Na wengine waliopo kwenye list wachokonozi,khalid ze chanzo,odemba na wengine wengi.
Na aliyepewa haya kuongoza ni huyu kijana wa bukoba ndio kapewa kazi hiyo kucontrol polisi na mahakama kesi hizi.
We ccm huwafahamu ndio washafanya hivyo ili waonekane kuwa wahusika ni hawaOctober 29 jf ilikuwa imefungiwa kwa kutumikia adhabu ya miezi 3
Na sijui kama kuna member alikuwa anatumia jf kwa kipindi hiko
Nasikia na wale wote mliokuwa mnampigia Nchimbi kampeni 2030 mkae mkao wa kulaok.
asante kwa porojo gentleman π
ok.πNasikia na wale wote mliokuwa mnampigia Nchimbi kampeni 2030 mkae mkao wa kula
Ndiyo ila hata wakifanya kujitetea kunawezekana tofauti na jf ingekuwa huru kwa kipindi hikoWe ccm huwafahamu ndio washafanya hivyo ili waonekane kuwa wahusika ni hawa
October 29 jf ilikuwa imefungiwa kwa kutumikia adhabu ya miezi 3
Na sijui kama kuna member alikuwa anatumia jf kwa kipindi hiko
Kabisa mkuuUkiachilia mbali jf kufungiwa, pia mtandao ulikuwa umekatwa nchi nzima .. hao watakuwa wamekosa cha kusingizia.
Usisahau hilo wewe chawa, utafikiwa tu.ok.π
hata mimi lazima nikufikie tu madame πUsisahau hilo wewe chawa, utafikiwa tu.
ππππ
Wewe lazima ufikiwe chawa wahedi.hata mimi lazima nikufikie tu madame π
ok.πWewe lazima ufikiwe chawa wahedi.