Applicant
JF-Expert Member
- Feb 12, 2020
- 1,962
- 1,751
Wakati nikiwa ofisini nimetulia zangu, aliyewahi kua ex wangu ambae anafanya kazi kama mfanyakazi wa ndani kwa diamond, kanipenyezea habari za kushangaza anadai huyu msanii wetu anamipango ya kuinunua club ya Young africans wana jangwani, amedai juzi walikuja viongozi wa Yanga nyumbani kwake ambapo pia ana ofisi yake hapo.
Ni jambo jema kupata muwekezaji kutoka hapa nyumbani sio tuwaachie wakina Mo, naskia mondi anataka kumiliki asimia 30% ya club hiyo kongwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni jambo jema kupata muwekezaji kutoka hapa nyumbani sio tuwaachie wakina Mo, naskia mondi anataka kumiliki asimia 30% ya club hiyo kongwe.
Sent using Jamii Forums mobile app