Nimepata habari za chini ya kapeti kuhusu diamond platnumz

Applicant

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2020
Posts
1,962
Reaction score
1,751
Wakati nikiwa ofisini nimetulia zangu, aliyewahi kua ex wangu ambae anafanya kazi kama mfanyakazi wa ndani kwa diamond, kanipenyezea habari za kushangaza anadai huyu msanii wetu anamipango ya kuinunua club ya Young africans wana jangwani, amedai juzi walikuja viongozi wa Yanga nyumbani kwake ambapo pia ana ofisi yake hapo.

Ni jambo jema kupata muwekezaji kutoka hapa nyumbani sio tuwaachie wakina Mo, naskia mondi anataka kumiliki asimia 30% ya club hiyo kongwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii alkasusu mmekorogea na viagra humo ndani imekua na ladha kama vicks kingo.
 
Wakati nikiwa ofisini nimetulia zangu, aliyewahi kua ex wangu ambae anafanya kazi kama mfanyakazi wa ndani kwa diamond, kanipenyezea habari za kushangaza anadai huyu msanii wetu anamipango ya kuinunua club ya Young africans wana jangwani, amedai juzi walikuja viongozi wa Yanga nyumbani kwake ambapo pia ana ofisi yake hapo.

Ni jambo jema kupata muwekezaji kutoka hapa nyumbani sio tuwaachie wakina Mo, naskia mondi anataka kumiliki asimia 30% ya club hiyo kongwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Diamond yuko Quarantine Leo siku ya 10.
 
Yeye mwenyew anasema simba baba lao leo anataka kuwekeza yanga [emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom