Wapo wengi, labda afukuze kazi wotewe huoni kwamba unamuharibia kazi demu wako hapo kwa diamond ? mkuu sifa ya mwanaume ni kutunza siri
Sent using Jamii Forums mobile app
hii alkasusu mmekorogea na viagra humo ndani imekua na ladha kama vicks kingo.
Diamond yuko Quarantine Leo siku ya 10.Wakati nikiwa ofisini nimetulia zangu, aliyewahi kua ex wangu ambae anafanya kazi kama mfanyakazi wa ndani kwa diamond, kanipenyezea habari za kushangaza anadai huyu msanii wetu anamipango ya kuinunua club ya Young africans wana jangwani, amedai juzi walikuja viongozi wa Yanga nyumbani kwake ambapo pia ana ofisi yake hapo.
Ni jambo jema kupata muwekezaji kutoka hapa nyumbani sio tuwaachie wakina Mo, naskia mondi anataka kumiliki asimia 30% ya club hiyo kongwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema habari hizi ni za juzi.Tayari alishakuwa Quarantine siku ya 7.
Juzi juzi simanishi sikumbili kablaUmesema habari hizi ni za juzi.Tayari alishakuwa Quarantine siku ya 7.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye mwenyew anasema simba baba lao leo anataka kuwekeza yanga [emoji1787]Wakati nikiwa ofisini nimetulia zangu, aliyewahi kua ex wangu ambae anafanya kazi kama mfanyakazi wa ndani kwa diamond, kanipenyezea habari za kushangaza anadai huyu msanii wetu anamipango ya kuinunua club ya Young africans wana jangwani, amedai juzi walikuja viongozi wa Yanga nyumbani kwake ambapo pia ana ofisi yake hapo.
Ni jambo jema kupata muwekezaji kutoka hapa nyumbani sio tuwaachie wakina Mo, naskia mondi anataka kumiliki asimia 30% ya club hiyo kongwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
πππππYeye mwenyew anasema simba baba lao leo anataka kuwekeza yanga [emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app