Mna uhakika yule ni kocha?Pole sana mkuu 😃 😀 😀 yule Eminem anatuharibia timu sana yaani sana
Pale hamna kitu kaka 😂 😃 😀Mna uhakika yule ni kocha?
Ni akili tu ya mtuMkuu nawe huwa una-bashiri?
Kwenye jambo nashukuru Mungu sijawahi kufanya/sitamani kufanya ni pamoja na kucheza betting
Wanasema ikikuingia kwenye damu, unaweza hata kuweka rehani nyumba ama gari ili upate fedha za ku-bet 🙌
Anyways, Yanga na Simba huwa zinapata shida kupata matokeo ya ushindi Uwanja wa Sokoine Mbeya
Wewe umeweza kujidhibitiNi akili tu ya mtu
Mimi kuna muda nabeti kuna muda napotezea naweza kaa hata miezi 6
Ila leo hata mimi Yanga kanichania, na dalili zinavyoonesha hata isingekuwa Yanga huwenda Liverpool angechana maana yupo nyuma ya goli moja na saizi ni dk ya 60.
Kulikuwa na kila dalili ya game kuwa na matokeo ambayo si matarajio ya wengi, isitoshe wengi wameiongelea hiyo game kabla ya game, na Yanga alikuwa hashindi, hilo pia hukuliona?Hasara haikuwa kubwa kwa vile sikuwa na uhakika kama kweli Yanga itashinda, ila niliweka mkeka uliegemea Yanga kushinda, kwa hiyo matokeo ya leo yamechana mkeka wangu huo. Yanga huhangaishwa sana na timu za Mbeya hasa Ihefu na Mbeya City zimekuwa zinaipa Yanga kichapo cha mbwa koko mara kwa mara. Je Yanga imeanza mwendo wa mwaka jana?
Ni kweli ila kimbelembele changu ndicho kimenisababishia huu mfadhaiko wa moyo.Kulikuwa na kila dalili ya game kuwa na matokeo ambayo si matarajio ya wengi, isitoshe wengi wameiongelea hiyo game kabla ya game, na Yanga alikuwa hashindi, hilo pia hukuliona?
Sasa kwa utaalamu wako kwanini ushinde na mgawane na usishinde ukala zote mwenyewe (yaani 100 percent) ?Mkuu niajiri niwe nakuchambulia vitu hii Yanga akiwa Away 2x Kichuguu guu
Mtaji sinaSasa kwa utaalamu wako kwanini ushinde na mgawane na usishinde ukala zote mwenyewe (yaani 100 percent) ?
Katika hili game mwisho wa siku ni mmoja tu ndio hutoka kidedea.....; In the long run the House Always Wins...
Kabisa anavyopenda kununanuna kama huyo chalii tu kwenye hiyo seriesMimi naona anafanana sana na huyu actor wa kwenye Gangs of London
unahitaji mtaji kiasi gani ? wakati odds unaweza ukabet kuanzia 500 hata 100 ? si uwekeze na kuwekeza faida ?Mtaji sina