Nimepata homa kali baada ya kufanya mapenzi

didy muhenga

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
861
Reaction score
1,476
Samahanini wakuu.

Ijumaa usiku nilifanya ngono sna na mwanamke mmoja sasa hali imenobadilikia jpil na leo yaan napata Homa kali usiku na maumivu ya kichwa kwa kipindi cha mchana.

Pia nimetoka ka kipele kwenye sehemu ya nywele za sehem za siri na mwisho kama vimaumivu vidogo sana napata nikiwa na nikimaliza kukojoa.

Msaada wenu huu utakua ugonjwa gani?
 
UTI kajitubu mapema
 
Pole sana, wahi hospitali kabla ya kuanza kukojoa dagaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…