Nimepata homa kali baada ya kufanya mapenzi

saiv najisemea hapa nimeacha ngono zembe aise Mungu anitangulie ktk hili nikipona niyafuate haya nilioyasema
Walisemaga hivyo hivyo wenzako 😂

Jitahidi ule vizuri matunda n mboga za majani kwa sana na usisahau kufanya mazoezi
 
Tayari umeunganishwa kwenye gridi
 
Pole mkuu nenda kituo cha kutolea huduma za afya kilichokaribu nawe. Mweleze uwazi hayo yatapita
 
Hali ikiwa mbaya muone waziri wa afya..
 
Nenda hospitali, huo ni ugonjwa baada ya ze utamu, a.k.a ngono zembe yaani nyama kwa nyama,(live wire)
 
Nenda ukapime magonjwa ya zinaa, kama ni ukimwi uanze dawa mapema ila hope hujaathirika ni gono
 
UKIMWI huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…