Shafii Dauda
Member
- Sep 21, 2014
- 44
- 2
eti wakuu,
naombeni msaada maana nahisi kuchanganyikiwa nimemaliza 2013 na kupata alama 32 hadi sasa sipo kundi lolote,
nimeomba ualimu hadi sasa sijapata kuona jina kurudi hadi sasa sielewi
je naweza pata chuo wapi na nisome kozi gani ili baadaye nijiajiri au niajiriwe na serikali?
Wazazi wana niletea michosho wananiambia niuze duka naona wananiaribia malengo yangu
kuna uwezekano nikapata chuo mwaka huu? MSAADA TAFADHALI
Risiti mdogo wangu maisha muda mwingine maisha hayataki haraka.
eti wakuu,
naombeni msaada maana nahisi kuchanganyikiwa nimemaliza 2013 na kupata alama 32 hadi sasa sipo kundi lolote,
nimeomba ualimu hadi sasa sijapata kuona jina kurudi hadi sasa sielewi
je naweza pata chuo wapi na nisome kozi gani ili baadaye nijiajiri au niajiriwe na serikali?
Wazazi wana niletea michosho wananiambia niuze duka naona wananiaribia malengo yangu
kuna uwezekano nikapata chuo mwaka huu? MSAADA TAFADHALI
Wewe dogo naamini ni mdogo kwangu tu cha kukushauri nenda kachukue form pale CBE utasoma cerfiticate then diploma na badae degree chuo kile zoa zoa sana hahahahh tena kwa wewe umefulu tena sana kwa CBE ata usijione umefel dogo best wishez
Nijuze nikushauri vema. Una pass 4 yaani D 4 na kwenye masomi yapi? Kama ni sanyansi the ulipashwa kuchaguliwa labda ulifanya wrong choice tu hapo udom. Profile yako NACTE ina somaje?
eti wakuu,
naombeni msaada maana nahisi kuchanganyikiwa nimemaliza 2013 na kupata alama 32 hadi sasa sipo kundi lolote,
nimeomba ualimu hadi sasa sijapata kuona jina kurudi hadi sasa sielewi
je naweza pata chuo wapi na nisome kozi gani ili baadaye nijiajiri au niajiriwe na serikali?
Wazazi wana niletea michosho wananiambia niuze duka naona wananiaribia malengo yangu
kuna uwezekano nikapata chuo mwaka huu? MSAADA TAFADHALI
yap pass yani D ninazo kwa masomo haya: chemistry,biology C,phy E others geo C eng C math E yaliobak d
ndio mkuu nimekupupata niliomba vyuo vya arts ila ilikua nje ya muda na kwenye profile yangu inaniambia checking in progress ila admis closed!Pole ndugu yangu hapa ndoto za ualimu wa sayansi no. inahitajika physics na hesabu iwe d. so if you still wish kusoma uwalimu chance ipo kwenye arts. Unapitia NACTE then choose vyuo kama saut na vinginevyo vya arts.
2. Waweza kurisit pia ili utafute hiyo phy na hesabu kwa future kama huna munkari sana wa chuo saa hizi. maana kwenye science hutafiti popote hata ukitaka certificate they will need d in hesabu na phy. huo ndio ushauri wangu dogo
nenda ajuco songea wantoa education, busnes administratiôn,it medicine, na admision bado hawajafunga
majina ya ualimu yametoka ebu cheki