Nimepata IV.32 masomo ya sayansi

Nimepata IV.32 masomo ya sayansi

Shafii Dauda

Member
Joined
Sep 21, 2014
Posts
44
Reaction score
2
Eti wakuu.

Naombeni msaada maana nahisi kuchanganyikiwa nimemaliza 2013 na kupata alama 32 hadi sasa sipo kundi lolote, nimeomba ualimu hadi sasa sijapata kuona jina kurudi hadi sasa sielewi.

Je, naweza pata chuo wapi na nisome kozi gani ili baadaye nijiajiri au niajiriwe na serikali?

Wazazi wana niletea michosho wananiambia niuze duka naona wananiaribia malengo yangu kuna uwezekano nikapata chuo mwaka huu? MSAADA TAFADHALI
 
hiyo id mwenyewe kakuruhusu

dogo uza duka elimu ilikushinda
 
eti wakuu,
naombeni msaada maana nahisi kuchanganyikiwa nimemaliza 2013 na kupata alama 32 hadi sasa sipo kundi lolote,
nimeomba ualimu hadi sasa sijapata kuona jina kurudi hadi sasa sielewi
je naweza pata chuo wapi na nisome kozi gani ili baadaye nijiajiri au niajiriwe na serikali?
Wazazi wana niletea michosho wananiambia niuze duka naona wananiaribia malengo yangu
kuna uwezekano nikapata chuo mwaka huu? MSAADA TAFADHALI

pole sana, ila kwa BRN div 4 point 32 unakuwa umefaulu ndani ya waliofeli, yaani kwa wenye div 4 ww ndo unaekuwa umefaulu ila kwa wenye div 1-3, ww unakuwa umefeli, ila usijali kwa vile umesema ulifaulu masomo ya sayansi basi fanya mpango uende vyuo vya VETA, Ila kuhusu kuchaguliwa ualimu sahau kabisa, usidhani nimekukatisha tamaa ila huo ndo ukweli.
 
km umepass kwa alama gani hayo masomo ya sayansi na je umefikisha masomo 4?
 
eti wakuu,
naombeni msaada maana nahisi kuchanganyikiwa nimemaliza 2013 na kupata alama 32 hadi sasa sipo kundi lolote,
nimeomba ualimu hadi sasa sijapata kuona jina kurudi hadi sasa sielewi
je naweza pata chuo wapi na nisome kozi gani ili baadaye nijiajiri au niajiriwe na serikali?
Wazazi wana niletea michosho wananiambia niuze duka naona wananiaribia malengo yangu
kuna uwezekano nikapata chuo mwaka huu? MSAADA TAFADHALI

Wewe dogo naamini ni mdogo kwangu tu cha kukushauri nenda kachukue form pale CBE utasoma cerfiticate then diploma na badae degree chuo kile zoa zoa sana hahahahh tena kwa wewe umefulu tena sana kwa CBE ata usijione umefel dogo best wishez
 
shukrani mkuu kwa ushauri mzuri nalifanyia kazi
 
Nijuze nikushauri vema.

Una pass 4 yaani D 4 na kwenye masomi yapi? Kama ni sanyansi the ulipashwa kuchaguliwa labda ulifanya wrong choice tu hapo udom.

Profile yako NACTE ina somaje?
 
Nijuze nikushauri vema. Una pass 4 yaani D 4 na kwenye masomi yapi? Kama ni sanyansi the ulipashwa kuchaguliwa labda ulifanya wrong choice tu hapo udom. Profile yako NACTE ina somaje?

yap pass yani D ninazo kwa masomo haya: chemistry,biology C,phy E others geo C eng C math E yaliobak d
 
eti wakuu,
naombeni msaada maana nahisi kuchanganyikiwa nimemaliza 2013 na kupata alama 32 hadi sasa sipo kundi lolote,
nimeomba ualimu hadi sasa sijapata kuona jina kurudi hadi sasa sielewi
je naweza pata chuo wapi na nisome kozi gani ili baadaye nijiajiri au niajiriwe na serikali?
Wazazi wana niletea michosho wananiambia niuze duka naona wananiaribia malengo yangu
kuna uwezekano nikapata chuo mwaka huu? MSAADA TAFADHALI

Kasome Tu Hiyo Sayansi Yako uje Kuwa Rubani wa Mbun'go na UTUDEDISHE Vizuri. MH370!
 
Pole ndugu yangu hapa ndoto za ualimu wa sayansi no. inahitajika physics na hesabu iwe d. so if you still wish kusoma uwalimu chance ipo kwenye arts. Unapitia NACTE then choose vyuo kama saut na vinginevyo vya arts.

2. Waweza kurisit pia ili utafute hiyo phy na hesabu kwa future kama huna munkari sana wa chuo saa hizi. maana kwenye science hutafiti popote hata ukitaka certificate they will need d in hesabu na phy. huo ndio ushauri wangu dogo
 
ndio mkuu nimekupupata niliomba vyuo vya arts ila ilikua nje ya muda na kwenye profile yangu inaniambia checking in progress ila admis closed!
 
nenda ajuco songea wantoa education, busnes administratiôn, it medicine, na admision bado hawajafunga.
 
tetesi nilizonazo watatoa muda si mrefu hao wa lioommba siku si nyingi usikate taamaa utapana tu nafaso bado ni nyingi
 
nenda ajuco songea wantoa education, busnes administratiôn,it medicine, na admision bado hawajafunga

asante mkuu je nawezaje ku apply hapo hasa hasa education? Na nyinginezo msaada tafadhali
 
Back
Top Bottom