eti wakuu,
naombeni msaada maana nahisi kuchanganyikiwa nimemaliza 2013 na kupata alama 32 hadi sasa sipo kundi lolote,
nimeomba ualimu hadi sasa sijapata kuona jina kurudi hadi sasa sielewi
je naweza pata chuo wapi na nisome kozi gani ili baadaye nijiajiri au niajiriwe na serikali?
Wazazi wana niletea michosho wananiambia niuze duka naona wananiaribia malengo yangu
kuna uwezekano nikapata chuo mwaka huu? MSAADA TAFADHALI