Nimepata IV.32 masomo ya sayansi

Nimepata IV.32 masomo ya sayansi

hauwezi medicine ina taka physic chemistry na biology tena chemistry na biology ni C kwa diploma na Certificate ni d flat
 
eti wakuu,
naombeni msaada maana nahisi kuchanganyikiwa nimemaliza 2013 na kupata alama 32 hadi sasa sipo kundi lolote,
nimeomba ualimu hadi sasa sijapata kuona jina kurudi hadi sasa sielewi
je naweza pata chuo wapi na nisome kozi gani ili baadaye nijiajiri au niajiriwe na serikali?
Wazazi wana niletea michosho wananiambia niuze duka naona wananiaribia malengo yangu
kuna uwezekano nikapata chuo mwaka huu? MSAADA TAFADHALI

Nilijua wewe ndio Shafii Dauda wa Sports Extra kumbe ni Division 5 BRN.
 
Back
Top Bottom