Ninavyoupenda sasa jamaan nitumie basi baba yoyoo
Ndio ni mimi [emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]Samahan eti wewe ndo.huyo kwenye picha apo
nawaogopa wahengaaa..ama kweli ya kale dhahabudada alichezea masharubu ya muhenga mmoja hivii...laiti kama asingejichetua vile haya yote yangebaki sirini
la kwangu msiliguse jamanii...Ngoja tuendelee kufukua makaburi ya wahenga tuu.
Cc Trudie
Sent from my Iphone 7 plus using JamiiForums app
kakaa hakuna mkate mgumu mbele ya chaiHivi JF nikinchi ndani ya Tanzania au ? maana naona tu watu wanafanya yao aisee 🙂 so mdada keshavua mtu wake ila hum labda hebu ngoja na mimi nisikilizie zali
jaman lakin sijui maana wadada wengi wa hum yaani wamekaa kaa kama wezi 🙂 yaani wakali wakali wakorofi korofi wajuwaji juwaji hawana ukike yaani full makamanda ivi nyie wadada wa hum huwa mnaishi Tanzania hii hii au ?
yaani mdada hum anakuwa jasir mnoo ila mtaani wako kimya mno sijui niwachawi
Halafu bora achokoze sehemu aliyochokozwa.nawaogopa wahengaaa..ama kweli ya kale dhahabu
Sent from my ZTE Kis3 max using JamiiForums mobile app
daaahhh...[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Halafu bora achokoze sehemu aliyochokozwa.
Ni code zilikuwa zinatembea mweee akajishuku ni yeye wakatii walaa, sasa akaanza mipovu na mhenga ha ha ha yaani majimaji war.
Watu wakaamua kumwonyeshea.. Dishuuuuua
You guys, yani leo hamjalala. Kweli mahondaw amekamatika manake mmemshika kote.Mungu yuMwema. wengi tumepata kupitia hapahapa
Hivi JF nikinchi ndani ya Tanzania au ? maana naona tu watu wanafanya yao aisee 🙂 so mdada keshavua mtu wake ila hum labda hebu ngoja na mimi nisikilizie zali
jaman lakin sijui maana wadada wengi wa hum yaani wamekaa kaa kama wezi 🙂 yaani wakali wakali wakorofi korofi wajuwaji juwaji hawana ukike yaani full makamanda ivi nyie wadada wa hum huwa mnaishi Tanzania hii hii au ?
yaani mdada hum anakuwa jasir mnoo ila mtaani wako kimya mno sijui niwachawi
Rubii mhenga wewe mmmh!Hakuna hata anaewachukia kujishuku kwao tu!!
Cc: Cc tulikua tunachukulia kawaida siunajua mambo ya penzi jipya???
Ila sasa kero ilianzia mambo ya faragha kuyaandika katikati ya thread za watu.
Wewe ukato.mba.ne huko uje usifiane kwenye thread ustaarabu gani?
thread ya msiba iloveyou kiuno vinafaa nini?!
Lakini kote huko wahenga tuliwapotezea wakizoeana vikojoleo watanyamaza t
u
Sasa juzjuz wahenga walikua wanajadiliana code zikampita akajua ni yeye kumbe walaaa akabaki na kirohopapo
Jumamosi ndio kuliamsha dude wahenga waliposogea akakimbiaaaaaa.....
Sasa kakimbia lakini kivuli chake kinamfuataaa
NB:hakuna mtu wakumchukia ila amekua kiburudisho chawahenga
Cc: Evelyn Salt Maserati Sakayo dark angel geniveros
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] kweli mimi binafs sina chuki na mtu kwanza nafurahi kuona jf inakutanisha watu wawe kwenye mahusiano ya dhatiHakuna hata anaewachukia kujishuku kwao tu!!
Cc: Cc tulikua tunachukulia kawaida siunajua mambo ya penzi jipya???
Ila sasa kero ilianzia mambo ya faragha kuyaandika katikati ya thread za watu.
Wewe ukato.mba.ne huko uje usifiane kwenye thread ustaarabu gani?
thread ya msiba iloveyou kiuno vinafaa nini?!
Lakini kote huko wahenga tuliwapotezea wakizoeana vikojoleo watanyamaza t
u
Sasa juzjuz wahenga walikua wanajadiliana code zikampita akajua ni yeye kumbe walaaa akabaki na kirohopapo
Jumamosi ndio kuliamsha dude wahenga waliposogea akakimbiaaaaaa.....
Sasa kakimbia lakini kivuli chake kinamfuataaa
NB:hakuna mtu wakumchukia ila amekua kiburudisho chawahenga
Cc: Evelyn Salt Maserati Sakayo dark angel geniveros
Rubii mhenga wewe mmmh!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] kweli mimi binafs sina chuki na mtu kwanza nafurahi kuona jf inakutanisha watu wawe kwenye mahusiano ya dhati
cha msingi ni privacy...