Tamatheo
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 3,298
- 1,560
Umemsifia as if mnaishi bustani ya Eden... Achana na hizo bana, nijuavyo mimi mapenzi ya hadithi ni ya mashaka mashaka au upande mmoja unataki kujiamisha... Stop that bana kila mwenye kuyajua mapenzi ana mahaba yasiyoandikika kama yakwako... Sijaona logic..................