Nimepata jamani nimepata

Nimepata jamani nimepata

Umemsifia as if mnaishi bustani ya Eden... Achana na hizo bana, nijuavyo mimi mapenzi ya hadithi ni ya mashaka mashaka au upande mmoja unataki kujiamisha... Stop that bana kila mwenye kuyajua mapenzi ana mahaba yasiyoandikika kama yakwako... Sijaona logic..................
 
Naona wala ubuyu Leo upo half time! Tunawangoja huku mjue
 
Maisha yanaend kas mno

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
God is great kwakweli.

As I searched for mume mume, I thank his aboundant blessings over me.

He gave me a gently and wonderful man ever met before.

We are in the early stage of malovee but i'm certainly sure that he's loving and caring one.

Naahidi kukupenda na kujipenda katika hali yoyote na wakati wowote na kuishi nawe kwa amani bila ugomvi.

Its the way you teach me, warn me and definitely got along with me.

I love you darling.

You really make my heart bampbamp.

Nakupenda sana mkulima wangu
FINIR.
Hongera na ukawe Mwema kwa uliye mpata,acha malalamishi hayatokujenga kwa chochote akikosea zungumza nae badala ya kulalamika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
God is great kwakweli.

As I searched for mume mume, I thank his aboundant blessings over me.

He gave me a gently and wonderful man ever met before.

We are in the early stage of malovee but i'm certainly sure that he's loving and caring one.

Naahidi kukupenda na kujipenda katika hali yoyote na wakati wowote na kuishi nawe kwa amani bila ugomvi.

Its the way you teach me, warn me and definitely got along with me.

I love you darling.

You really make my heart bampbamp.

Nakupenda sana mkulima wangu
FINIR.
Ok,maana nilikuwa najiandaa kuj.
vizuri!
 
Back
Top Bottom