Nimepata jamani nimepata

Hahahahaha kaka tupe ushauri labda
 
Hongera sana,hao wakulima ndio safi,ujiandae tu wakati wa kuvuna mpunga,itakubidi usahau kupaka cream kwa muda....
 

Hii tabia ya kufukua makaburi imeanza lini JF., sio Nzuri kabisa, , mmeanzia kiumeni sana mpo Kikeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…