Wakuchakachua
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 346
- 9
😛layball:
Hongera, ila ID yako..mmmhhh!!!
Taarifa rasimi ni kuwa jana nilitoa tangazo la kutafuta mwenza,
Nashukuru kwa waliojitokeza jukwaani ,mchakato ulienda sawa
Na Baba wa familia kupatikana.
Mengi yalisemwa kuwa si rahisi kwa JF ila
Nachukua nafasi hii kusema kuwa nimepata na nimezungumza nae
Kwa simu .
Asnten sana ingawa mpaka mwisho wapo walioamua kupinga matokea
Kwa kuhisi kuwa nimechakachua ila si kweli
Huyo ni mshindi:tongue:
Naahidi kumpenda na kumuheshimu baba watoto wangu mtarajiwa
Once again asante sana.
Wakuchakuchua unamaanisha unachokisema?yaani mara hii na umeshafanya decision?
Sasa mbona umevunja makubaliano yetu? Si tulikubaliana usiirushe hii thread?
Jamani i have to say............. it, mbona mshindi sio wewe jamani
maana tulisema tutawaeleza jF member wote
and we agreed upn each other....
Jamani i have to say............. it, mbona mshindi sio wewe jamani
maana tulisema tutawaeleza jF member wote
and we agreed upn each other....
Wakuchakuchua unamaanisha unachokisema?yaani mara hii na umeshafanya decision?
hahaha, ndoa za siku hizi kiboko! mnaongea dakika mbili, then accepted! hata muda wa kumuomba Mungu nadhani hukupata. but all the best mai dia
Kwani amekwambia aliomba Mungu. Kama huyo Mungu wake amemwambia aje hapa JF atampata mchumba basi hwari. Lakini hii ni biashara.
Mbona unakiuka makubaliano yetu? Hebu omba Mods waifunge hii thread bwana. Ngoja nikupigie naona hatuelewani hapa.
hahaha, ndoa za siku hizi kiboko! mnaongea dakika mbili, then accepted! hata muda wa kumuomba Mungu nadhani hukupata. but all the best mai dia
Taarifa rasimi ni kuwa jana nilitoa tangazo la kutafuta mwenza,
Nashukuru kwa waliojitokeza jukwaani ,mchakato ulienda sawa
Na Baba wa familia kupatikana.
Mengi yalisemwa kuwa si rahisi kwa JF ila
Nachukua nafasi hii kusema kuwa nimepata na nimezungumza nae
Kwa simu .
Asnten sana ingawa mpaka mwisho wapo walioamua kupinga matokea
Kwa kuhisi kuwa nimechakachua ila si kweli
Huyo ni mshindi:tongue:
Naahidi kumpenda na kumuheshimu baba watoto wangu mtarajiwa
Once again asante sana.
Asante sana kwa kurusha feedback,naona hii itamsaidia sana bibie mmoja hapa kuamiini kuwa hata hapa JF unaweza kupata mwenza aliye serious.
wajemeni mie nimempata ila kaniponyoka,mkimuona mwambieni namtafuta!:A S-confused1::disapointed::embarrassed1::becky::glasses-nerdy::embarrassed::rant::rant::rant: