Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikiziunganisha hizo red (Watu wanajua kusoma katikati ya mistari jamani lol)
Huyo MEN ndio Id ya huyo mme mtarajiwa au unamaanisha kuna njemba zaidi ya moja zimeingia mkataba wa ndoa.
Nakipenda sana Kiswahili, lugha ya Taifa langu.
Asprin huwa nikimeza naumwa sana na tumbo!!!Hiyo ni wanyama calling, you have been warned!
Yaani hapo Paka ni mtu, na Kuku ni ndege anayetoa ushuzi? Mi confused!
Nashukuru umesoma nilichokiandika..............
We mtoto taratibu watasema una wivu wa kike!so umependa sauti ya simu na picha lakini sio mtu. i wonder utapendaje mtu amabaye hujamuona, na sasa hapo utakuwa unapenda nini hasa? una uhakika gani kwamba hiyo pic ni yake? labda nitahitaji kurudi darasani kujifunza upya masuala ya mapenzi.
Aspirin nini bana?? acha kusoma sana between and underneath the lines and dots....
Mi namshauri tu Wakuchakachua wetu...
I just advise her to love that MEN !! 🙂 🙂 🙂
Wenye wivu wajinyonge...... ila cha muhimu asichakuche!!!
Asprin huwa nikimeza naumwa sana na tumbo!!!
Asante kwa kua mwaminifu, na kua muwazi maana akina dada wengi wanateseka sana, juzi kanisa fulani hapa DAR walipita mbele kuombewa wapate wenza, nadhani si wakati tena wa kupoteza kwa akina dada, hongera kwa kua muwazi, hope umefungua mlango kwa wengine kujitokeza!! I like it
Oups...utakuwa na matatizo, hebu njoo huku nikukague shosti:A S-confused1:
Taarifa rasimi ni kuwa jana nilitoa tangazo la kutafuta mwenza,
Nashukuru kwa waliojitokeza jukwaani ,mchakato ulienda sawa
Na Baba wa familia kupatikana.
Mengi yalisemwa kuwa si rahisi kwa JF ila
Nachukua nafasi hii kusema kuwa nimepata na nimezungumza nae
Kwa simu .
Asnten sana ingawa mpaka mwisho wapo walioamua kupinga matokea
Kwa kuhisi kuwa nimechakachua ila si kweli
Huyo ni mshindi:tongue:
Naahidi kumpenda na kumuheshimu baba watoto wangu mtarajiwa
Once again asante sana.
Ukague nini tena,utumbo au!!!
Hongera dada
Mwambie akutungie shairi utumwagie hapa au haimo kwenye 'wajibu' wa wana ndoa?
Siwezi ficha jamni kwanini nifiche kwani nimelazimishwa ???? i love the guy simple:shut-mouth:
imo na atafanya hivyo......... siku si n yingi
Asante sana kwa kurusha feedback,naona hii itamsaidia sana bibie mmoja hapa kuamiini kuwa hata hapa JF unaweza kupata mwenza aliye serious.
so umependa sauti ya simu na picha lakini sio mtu. i wonder utapendaje mtu amabaye hujamuona, na sasa hapo utakuwa unapenda nini hasa? una uhakika gani kwamba hiyo pic ni yake? labda nitahitaji kurudi darasani kujifunza upya masuala ya mapenzi.
hapana wakuchakachua siku moja haitoshi kujua kama unampenda sweetheart wako ,ndoa ikitangazwa usinisahau my dear