Nimepata jamani!!!!!

Nimepata jamani!!!!!

Yafaa ukutane nae na kuzungumza nae kwa kina ndio uje hapa utuambie kuwa umempata na si kukurupuka kushangilia na kuridhika wakati mambo bado hujayaweka sawa,hii ni sawa na kukoka moto wakati kitoweo hujakipata.
 
Nikiziunganisha hizo red (Watu wanajua kusoma katikati ya mistari jamani lol)

Huyo MEN ndio Id ya huyo mme mtarajiwa au unamaanisha kuna njemba zaidi ya moja zimeingia mkataba wa ndoa.

Nakipenda sana Kiswahili, lugha ya Taifa langu.

Aspirin nini bana?? acha kusoma sana between and underneath the lines and dots....
Mi namshauri tu Wakuchakachua wetu...
I just advise her to love that MEN !! 🙂 🙂 🙂
Wenye wivu wajinyonge...... ila cha muhimu asichakuche!!!
 
"If you make a mistake, get all tangled up, just tango on. Why don't you try ?"

Last edited by a moderator:
Asante kwa kua mwaminifu, na kua muwazi maana akina dada wengi wanateseka sana, juzi kanisa fulani hapa DAR walipita mbele kuombewa wapate wenza, nadhani si wakati tena wa kupoteza kwa akina dada, hongera kwa kua muwazi, hope umefungua mlango kwa wengine kujitokeza!! I like it
 
so umependa sauti ya simu na picha lakini sio mtu. i wonder utapendaje mtu amabaye hujamuona, na sasa hapo utakuwa unapenda nini hasa? una uhakika gani kwamba hiyo pic ni yake? labda nitahitaji kurudi darasani kujifunza upya masuala ya mapenzi.
We mtoto taratibu watasema una wivu wa kike!

Aspirin nini bana?? acha kusoma sana between and underneath the lines and dots....
Mi namshauri tu Wakuchakachua wetu...
I just advise her to love that MEN !! 🙂 🙂 🙂
Wenye wivu wajinyonge...... ila cha muhimu asichakuche!!!

Hahaha! Namuonea wivu that MEN. Kweli anabahati sana.
 
Asante kwa kua mwaminifu, na kua muwazi maana akina dada wengi wanateseka sana, juzi kanisa fulani hapa DAR walipita mbele kuombewa wapate wenza, nadhani si wakati tena wa kupoteza kwa akina dada, hongera kwa kua muwazi, hope umefungua mlango kwa wengine kujitokeza!! I like it

Siwezi ficha jamni kwanini nifiche kwani nimelazimishwa ???? i love the guy simple:shut-mouth:
 
Taarifa rasimi ni kuwa jana nilitoa tangazo la kutafuta mwenza,
Nashukuru kwa waliojitokeza jukwaani ,mchakato ulienda sawa
Na Baba wa familia kupatikana.
Mengi yalisemwa kuwa si rahisi kwa JF ila
Nachukua nafasi hii kusema kuwa nimepata na nimezungumza nae
Kwa simu .
Asnten sana ingawa mpaka mwisho wapo walioamua kupinga matokea
Kwa kuhisi kuwa nimechakachua ila si kweli
Huyo ni mshindi:tongue:
Naahidi kumpenda na kumuheshimu baba watoto wangu mtarajiwa
Once again asante sana.

Wisshing you all best.
 
Siwezi ficha jamni kwanini nifiche kwani nimelazimishwa ???? i love the guy simple:shut-mouth:

hapana wakuchakachua siku moja haitoshi kujua kama unampenda sweetheart wako ,ndoa ikitangazwa usinisahau my dear
 
Asante sana kwa kurusha feedback,naona hii itamsaidia sana bibie mmoja hapa kuamiini kuwa hata hapa JF unaweza kupata mwenza aliye serious.

Ha ha ha ha ha ha ha? kila la kheri my dear,tutafurahi tena ukituambia mkifunga ndoa.............LOL
 
so umependa sauti ya simu na picha lakini sio mtu. i wonder utapendaje mtu amabaye hujamuona, na sasa hapo utakuwa unapenda nini hasa? una uhakika gani kwamba hiyo pic ni yake? labda nitahitaji kurudi darasani kujifunza upya masuala ya mapenzi.

i think i can be your professional teacher!!!
 
hapana wakuchakachua siku moja haitoshi kujua kama unampenda sweetheart wako ,ndoa ikitangazwa usinisahau my dear

you will getmy card dear wala usijali,
na wiki mbili zijazo nitafanyiwa send offff ur wel com mamiii
 
Back
Top Bottom