Wakuchakachua
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 346
- 9
- Thread starter
-
- #61
Shost, we una mume nije kupga hodi?! Nadhani utanifaa...
Kazi yako wewe ni kuja tu. Kukagua ni kazi yangu.
aaah bana sibiria hata ka mwezi kapite yani ndo kwanza ndoa inaanza nawewe unaomba uhawara ..........ngoja utapata ila sharti la kwanza uwe na mke na pili umuachie mwingine naye achakachue kidogo ka mke kako
Kila la kheri, japo mambo yameenda kama mwendo wa kichina.
aaah bana sibiria hata ka mwezi kapite yani ndo kwanza ndoa inaanza nawewe unaomba uhawara ..........ngoja utapata ila sharti la kwanza uwe na mke na pili umuachie mwingine naye achakachue kidogo ka mke kako
Ha ha ha ha ha ha ha? kila la kheri my dear,tutafurahi tena ukituambia mkifunga ndoa.............LOL
Mbona unajiweka kando,unajuaje kama mlengwa si wewe?[/QUOTE
Nimejua mlengwa ni mimi Paka Mweusi..........................:A S-confused1:
Taarifa rasimi ni kuwa jana nilitoa tangazo la kutafuta mwenza,
Nashukuru kwa waliojitokeza jukwaani ,mchakato ulienda sawa
Na Baba wa familia kupatikana.
Mengi yalisemwa kuwa si rahisi kwa JF ila
Nachukua nafasi hii kusema kuwa nimepata na nimezungumza nae
Kwa simu .
Asnten sana ingawa mpaka mwisho wapo walioamua kupinga matokea
Kwa kuhisi kuwa nimechakachua ila si kweli
Huyo ni mshindi:tongue:
Naahidi kumpenda na kumuheshimu baba watoto wangu mtarajiwa
Once again asante sana.
nasubiri kadi ya mchango wa harusi,mimi nitakuchangia
Bado kuna watu wana fikra za kuchangiana kwenye harusi duh
Wakuchakachua just be careful..Love with your eyes wide open. Listen careful to your inner-self, don't say every voice you hear is from GOD nope it can be deceptive from devil also. Dont get married out of desperation , why rush ? take time to ponder your choices and let GOD confirm it day by day not by mere photos or calls.
Good Luck.
i mean it dear,
Sidhan kama decision will take more than a day!
anaoneka kuwa responsible Men na kama nilivyosema all factors will reman constant na sitoangalia sura!
bali uhalisia wa maisha.........
Ulipotea ndugu......karibu tena.
mBONA MCHINA NDIO DILI SIKUHIZI....
Hata mm mwenyewe natafuta mchumba milango ipo wazi