'Wasaga nafaka' ni sheeedah next level. Wanaandaa peaceful march (kama ile ya Japan) ili kuusifia na kuupamba 'muhogo wa kichina' !
BTW... ''Kasie'' ndiyo english version ya ''Kasinde'' (kibantu)?
Babu njanja anajua utanogewa safari umtoroke, twenzetu Lubumbashi tukabaone bantu ya Kongo DRC.Naogopa kutoroshwaa..... babu alinikatazaa
Hachana na hiyo rejected, utasafiri na Diplomatic Visa... S.A. bado sijafikiria kwenda kutokana na mkasa ulionipata pale J.burg.Visa yangu kutoka kwa Babu Big Sam imekuwa rejected.........
Karibu S.A.
Jiko la gesi eeh! Moto fasta fasta tena kwa raha zako hata usiku wa manane.
Hhahahahahahahaha Msuli ake mtu uko poa? mithing you mingi sana.....πππ
Baada ya kusoma msg yako nimepata hamu ya kudance leo gafla............... jumanne hii sijui wapi panagigwa mziki mzuri wa kunikuna leo nizuke hapo..... nimepata hamu ya kuvunja mifupa gafula hehheheeee.
Kasie.
Subiri Eid next week kwa raha zako
Hadi wiki ijayo.... aaah naona mbaliii.................
Nikikosa mahali hata home ntaweka magoma yangu nivunje mifupa kidogo
Ntampangilia awilo longomba, boziboziana, koffi olomide na kanda bongo man. Nikitoka hapo naingia kwenye Jacuzzi kisha nalala usingizi mzitooo.