Nimepata jiko

Nimepata jiko

'Wasaga nafaka' ni sheeedah next level. Wanaandaa peaceful march (kama ile ya Japan) ili kuusifia na kuupamba 'muhogo wa kichina' !

I don't know anything.................. ndi ndi ndiii...........

BTW... ''Kasie'' ndiyo english version ya ''Kasinde'' (kibantu)?

For Kaveli will be pronounced Kavy or Kavie.............

Kasinde and Kasie are one and single!!
 
Babu njanja anajua utanogewa safari umtoroke, twenzetu Lubumbashi tukabaone bantu ya Kongo DRC.

Visa yangu kutoka kwa Babu Big Sam imekuwa rejected.........

Karibu S.A.
 
Hachana na hiyo rejected, utasafiri na Diplomatic Visa... S.A. bado sijafikiria kwenda kutokana na mkasa ulionipata pale J.burg.
 
hahaa weeeweee.....

Nini kilikutokea J'burg?
 
Jiko la gesi eeh! Moto fasta fasta tena kwa raha zako hata usiku wa manane.
 
Ulisha acha kuendesha gari ukiwa umevaa chup.i tu?
 
Jiko la gesi eeh! Moto fasta fasta tena kwa raha zako hata usiku wa manane.

Hhahahahahahahaha Msuli ake mtu uko poa? mithing you mingi sana.....🙂🙂🙂

Baada ya kusoma msg yako nimepata hamu ya kudance leo gafla............... jumanne hii sijui wapi panagigwa mziki mzuri wa kunikuna leo nizuke hapo..... nimepata hamu ya kuvunja mifupa gafula hehheheeee.

Kasie.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Subiri Eid next week kwa raha zako

Hadi wiki ijayo.... aaah naona mbaliii.................

Nikikosa mahali hata home ntaweka magoma yangu nivunje mifupa kidogo

Ntampangilia awilo longomba, boziboziana, koffi olomide na kanda bongo man. Nikitoka hapo naingia kwenye Jacuzzi kisha nalala usingizi mzitooo.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Enjoy Kasinde

Back
Top Bottom