Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
"Haya sasa mnaonijibugu ovyo kwenye nyuzi zangu, kajipangeni tena maana kijana sio tu member bali mod! Sasa lete uzi bila source...BAN la nguvu linakusubiri!" Ndio ndoto niliyoota jana ati nimetumiwa PM na invisible nijiunge na team baada ya thread zangu kuleta mapinduzi na wengi waliokuwa vilaza kuwatoa kuwafanya zichaji na sasa wanashusha nondo tu!