Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
"haya sasa mnaonijibugu kun.ya kwny nyuzi zangu, kajipangeni tena maana kijana sio tu member bali mod! sasa lete uzi bila source...BAN la nguvu linakusubiri!" Ndio ndoto niliyoota jana ati nimetumiwa PM na invisible nijiunge na team baada ya thread zangu kuleta mapinduzi na wengi waliokuwa vilaza kuwatoa kuwafanya zichaji na sasa wanashusha nondo tu!
Soma kilicho andikwa kwenye avatar yakeNi bora ungeota unakojoa kitandani ooh[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiki kitakuwa cha Malawi kilicho sindikwa na mbuziCha Arusha au Malawi?