nimepata kazi mkoani ...najishauri!!

nimepata kazi mkoani ...najishauri!!

ungenambia mkoa or wilaya nyngne poa,dont dea kuacha kaz yako dar,mi nalia na kujuta had kesho,hakuna sehem mbaya isyokuwa na maendeleo,maisha ghal kama meatu.jua linachoma had ndan ya nyumba,hakuna dil huko.
 
nakuhakikshia utalia machoz ya damu,coz na mim wa2 walnshaur nkaenda,nmekaa mda nkakumbuka dar,hakuna wlaya mbaya,kwa maelezo zaid n PM,alafu kbarua chako cha dar naomba unpe mim
 
Mkuu nenda tu Meatu nimeshafika huko.Ila ni pazuri sana kama una interest ya kufanya biashara hasa ya ng,ombe na kilimo. Usiogope ukienda huko unaweza kugoma kabisa kurudi Dar coz gharama za maisha nazo ni rahisi. Ila iwe Mwanihuzi isiwe vijijini mkuu.
 
Wakati mwingine tunaita fikra ama aibu ya kuonekana mshamba, au ni ile hali ya kuhisi kama unapitwa na starehe, anyway hayo yote ni maono ya watu wenye uvivu wa kufikiri.kama huko unakoenda kuna mazingira mazuri kama unavosema basi nenda kwa sababu hizi hapa chini.
1. Tofauti ya tshs laki 2 ni kubwa sana sababu pia hata katika bills na rent utakazozikuta mkoani ni tofauti na dar so here im talking about real saving.

2. Starehe zipo kila sehemu watu tunakula bata hadi hapa katikati ya serengeti tunacheza na simba full exposure watu wa kila rangi.

3.popote pale ulipo ili usiwe mtumwa wa starehe ni lazima uwe na pesa nyingi ili ushindwe kutofautisha kati ya starehe na kuishi vizuri.
Kwa kumalizia nakushauri njoo kijijini, usikonde utatukuta wadau tunakukabidhi shimo lako basi unaendelea kuchimba madini ni hayo tuuu.
 
hapo igwe nimekukubali huwa wanaona dar kila kitu huku makero kibao wala hutamani, mwingine kapigika na umaskini hataki kwenda mkoani kufanya kazi!!!!!!!!!!
 
mikoani kuna mambo mengi sana Dar sikuhizi ni michisho sana meatu nikuzuri hasa kama una malengo ya maisha kama kilimo, biashara, etc
 
Unatutamanisha tunaosaka ajira....halafu ukizingatia hazipatikani.., ukishafanya maamuzi nipe mimi hiyo kazi utakayoibwaga koz kazi mbaya ukiwanayo!

Na nyie mnao-apply kazi ambazo hamzihitaj acheni bwana tabia hiyo, kwani mnatunyima fursa siye wenye shida nazo, Msifanye hivyo p/se MNATUHUJUMU na NI UFISADI kwa kweli.
 
habarini JF<br />
<br />
nipo dms nafanya kazi kampuni fulani ya simu.nimepata kibarua kingine kwenye kampuni nyingine ya simu kwa tofauti ya mshahara ya laki 2...i mean ya mkoani imezidi kwa laki 2 mshahara wa apa dar..........wananipa na gari ya kazi!!hardbody...lakini bado naona ugumu kuenda huko meatu...nishaurini niende au nibaki?
<br />
<br />
Ndugu yangu nakushauri kaa mjini piga kazi.meatu kumechoka vibaya sana-mi nilipangiwa kazi ya serikali nikaenda nikakaa mwezi.nikakimbia sababu serikali initupa tu si unajua mwl.lakini pili kumechoka sana vumbi tupu,maji shida,kamji kadogo sana kama kijiji,taasisi zozote hamna,watu hawathamini elimu.ukienda utaboreka sana hamna chochote cha kufurahisha ka town hata kama mshahara siyo mkubwa utapata satisfaction ya mambo mengi kama majengo mazuri tv radio miundo mbinu taasisi mbalimbali watu wengi pia utapata exposure ya kupata ajira kuliko meatu labda ingekuwa mji mwingine.usiende meatu utajuta maisha yako ni maamuzi mabaya kama kwenda kuishi darfu,kandahal au pakistani.kama hauniamini omba ruhusa kazini halafu nenda ukasavey utakubaliana na mimi.
 
Back
Top Bottom