Nimepata kazi mpya /mshahara umedabo nabadilisha mchumba

Duh, wadada wengine wamepinda. i cant imagine hata mtarajiwa wangu naye anamawazo kama haya!!! Naomba Mungu anifunulie mapema kabla sijaingia chaka!!
ukisikia micharuko ndiyo hiyo mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…