Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jiandae nakwambia utajaisoma siku ikikutokeahuna lolote kujipaisha tu pesa kitu gani bana
mkiijua kweli mnaanza matusiNjoo nikumege kwanza upate akili..........maana nina uhakika ninakuzidi kila kitu kasoro ukanjanja.
i lv uMarytina is scamming mmu.
kauli ya sizitaki mbivu nataka mbichiIf love is money, marry the bank.
Psychiatry!i lv u
nadhan unataka kila siku iwe hivi
neurotisisPsychiatry!
habari ndio hiyoi see. . . .
mkiijua kweli mnaanza matusi
wewe ndiye hujakuwa na huuoni umuhimu wa pesa kwa kuwaandalia watoto watarajiwa maisha bora
achana na wazee wa kizamani pesa ni karibia kila kitu na mwili wangu haukumbatiwi na niliyemzidi
nimeshuhudia wanaume kibao waliowaacha wake zao kisa mafanikio ya wanaume kipesa