Nimepata kazi sehemu ila nahisi kuna rushwa ili niingie kazini

hoyugi

Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
73
Reaction score
12
Naombeni ushauri jamani nimefanya interview katika company fulani nimekubaliwa ila nahisi kuna utengenezwaji wa rushwa ili niingie kazini sasa nishaurini nifanyeje?

Na kazi naitaka nitumie sms kwenye namba yangu 0713671409 nitaufanyia kazi ushauri wako.
asante.
 
Sasa wewe unahitaji usaidiwe kutokana na hisia zako tu, unategemea utasaidiwaje? Wewe subiri hadi utakapoombwa hiyo rushwa ndio uombe ushauri wa nini la kufanya, kutegema aina ya rushwa utakayoombwa. Wakati huo utakapoombwa rushwa kubali na kuahidi kutekeleza baada ya siku moja au mbili, na kisha omba ushauri au nenda Takukuru.
 
Nimeshindwa kupata majibu ya haraka acha nitafakari.
 
rushwa ya aina gani? wana dalili za kukuomba mzigo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…