Naombeni ushauri jamani nimefanya interview katika company fulani nimekubaliwa ila nahisi kuna utengenezwaji wa rushwa ili niingie kazini sasa nishaurini nifanyeje?
Na kazi naitaka nitumie sms kwenye namba yangu 0713671409 nitaufanyia kazi ushauri wako.
asante.
Sasa wewe unahitaji usaidiwe kutokana na hisia zako tu, unategemea utasaidiwaje? Wewe subiri hadi utakapoombwa hiyo rushwa ndio uombe ushauri wa nini la kufanya, kutegema aina ya rushwa utakayoombwa. Wakati huo utakapoombwa rushwa kubali na kuahidi kutekeleza baada ya siku moja au mbili, na kisha omba ushauri au nenda Takukuru.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.