TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
Sawa mla mihogoNajua Wenye vijicho,Visebengo,Visebusebu,Viherehere na Visununu mtavuta sana midomo na kusonya sana kwa hatua hii adhimu ambayo nimekuwa nikiiomba na kuipigania kwa muda mrefu!
Huyu mzee wetu alifanya kazi kubwa mno na iliyotukuka, huyu mzee atakumbukwa kwa mengi mazuri ikiwemo kutuheshimisha sisi wana Lunyasi!
Sababu ya mimi kumjengea sanamu huyu mzee wetu ni namna alivyofanya mambo makubwa ndani ya klabu yetu!
Naomba wana Lunyasi mpendekeze ni wapi hii sanamu inapaswa iwekwe ili kila Mwana Lunyasi akiwa anapita apate wasaa wa kuitazama!
Ndimi Mwana Lunyasi mwenzenu.
Nani kamchukia mla mihogo?Mkuu kwanini mnachukia mwana lunyasi mwenzenu kumjengea sanamu mwenyekiti wetu wa zamani?,shida ipo wapi?
Kibali nimepewa na Serikali mkuuKibali Kakupa nani...! Jini Mkuu?
Majini Yanatoa Vibali Siku hizi..?
Lazima tumjengee Sanamu atake asitake!Kiongozi wetu pendwa wana Msimbazi.
HakikaLazima tumjengee Sanamu atake asitake!
Mkuu unaumia mimi kumjengea Rage sanamu?
Mkuu mbona unaumia mimi kumjengea mwenyekiti wetu sanamu?,Shida iko wapi?Zezeta mkubwa. Hata mia mbovu hauna