Nimepata Kibali rasmi cha Kumjengea sanamu ya ukumbusho Aden Rage

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2018
Posts
2,345
Reaction score
6,970
Najua Wenye vijicho,Visebengo,Visebusebu,Viherehere na Visununu mtavuta sana midomo na kusonya sana kwa hatua hii adhimu ambayo nimekuwa nikiiomba na kuipigania kwa muda mrefu!

Huyu mzee wetu alifanya kazi kubwa mno na iliyotukuka, huyu mzee atakumbukwa kwa mengi mazuri ikiwemo kutuheshimisha sisi wana Lunyasi!

Sababu ya mimi kumjengea sanamu huyu mzee wetu ni namna alivyofanya mambo makubwa ndani ya klabu yetu!

Naomba wana Lunyasi mpendekeze ni wapi hii sanamu inapaswa iwekwe ili kila Mwana Lunyasi akiwa anapita apate wasaa wa kuitazama!

Ndimi Mwana Lunyasi mwenzenu.
 
Sawa mla mihogo
 
Anastahili Kujengewa Sanamu Maana Nilipenda Sana Aliyekuwa Mkweli Na Kusema Manalunyasi Ni Mbumbumbu.
 
Back
Top Bottom