Mtoto mkubwa
Member
- Dec 29, 2014
- 68
- 23
Wakuu nimemeza malafin kwaajili ya malaria, siku ya pili yake nikahisi maumivu kwenye uume kucheki kuna kama vijipele hivi, nikavichukulia poa kuamka siku ya pili yake limekua donda, yani ni kama jeraha la moto linanikondesha sana kwani siwezi nikasema kuwa ni gonjwa la zinaa coz sijasex karibuni, nina mda tangu ni sex.
Wakuu, naombeni mnisaidie nitumie dawa gani ili kukausha kidonda maana huwa kinatoa majimaji na kinanifanya nishindwe kuvaa hata nguo.
Wakuu, naombeni mnisaidie nitumie dawa gani ili kukausha kidonda maana huwa kinatoa majimaji na kinanifanya nishindwe kuvaa hata nguo.