Mtoto mkubwa
Member
- Dec 29, 2014
- 68
- 23
Akikupea utawezana?Picha
Picha
HILI NDILO JIBU LAKO...Ukienda kununua dawa waambie una allegy na sulfur . Usitumie dawa yenye sulfur inachubua hadi mdomoni baada ya siku siku 2 au 3 inaisha yenyewe.
Asante mkuu...hakuna dawa nayoweza tumia kukausha au ni risky kupaka dawa kwenye kipara?Pole , una allergy ya sulfur jaribu kunywa anti allergy naji mengi I'll kuitoa mwilini.
Siku ya 3 utapona ila kovu LA weusi litabaki
Nimeelewa mkuu. Sasa ni dawa gani za malaria zenye sulphur na zipi hazina sulphur just incase naandikiwa siku nyingine?komango kaelezea kitaalamu kabisa fanya hvyo itakuwa sawa ila usitumie tena dawa zenye sulfur