music mimi JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 485 Reaction score 876 Jan 8, 2023 #41 Chizi Maarifa said: Anyway....kaa nacho kidonda chako maana silipwi chochote ktk hilo. Click to expand... Sijakusoma kabisa mkuu nini haswa unachotaka
Chizi Maarifa said: Anyway....kaa nacho kidonda chako maana silipwi chochote ktk hilo. Click to expand... Sijakusoma kabisa mkuu nini haswa unachotaka
luambo makiadi JF-Expert Member Joined Nov 28, 2017 Posts 10,602 Reaction score 8,798 Jan 8, 2023 #42 music mimi said: Sijakusoma kabisa mkuu nini haswa unachotaka Click to expand... Mtejesho MKUU? Ulijapona?
music mimi said: Sijakusoma kabisa mkuu nini haswa unachotaka Click to expand... Mtejesho MKUU? Ulijapona?
music mimi JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 485 Reaction score 876 Jan 9, 2023 #43 luambo makiadi said: Mtejesho MKUU? Ulijapona? Click to expand... Bado sijapona kaka mpaka naogopa. Nilenda dispensary wakanipa dawa ya kukausha ila kidonda hakijakauka mpaka leo. Hapa nataka niangalie namna ya kufanya. View attachment 2474529 Hii ndio dawa walinipa. Sonaderm GM
luambo makiadi said: Mtejesho MKUU? Ulijapona? Click to expand... Bado sijapona kaka mpaka naogopa. Nilenda dispensary wakanipa dawa ya kukausha ila kidonda hakijakauka mpaka leo. Hapa nataka niangalie namna ya kufanya. View attachment 2474529 Hii ndio dawa walinipa. Sonaderm GM