Nimepata kidonda sehemu za siri kinauma sana nitumie dawa gani?

Mbona unawasiwasi na magonjwa ya zinaa, nenda hospital kaonane na daktari atakupa dawa muafaka. ingekuwa magonjwa ya zinaa dalili zingeanzia kwa mumeo coz wanaume wanaonesha dalili mapema sana compare na wanawake

Sio lazima

kuna baadhi yanaweza pita kimya kwa wanaume, kama ilivyo kwa wanawake pia
 

Mh hiyo sio herpes zoster...sijuiiii...nenda kwa docta

ndio ugonjwa gani tena huo jamani au ndio ugonjwa mpya ulioingia huwiii jamani mimi nisaidieni nitumie dawa gani basi ya hiyo herpeszoster
Jambo la msingi uende hospitali upate ushauri zaidi. Hiyo sio herpes zoster usianze kuchanganya magonjwa..
 
Kutokana na maelezo yako inaonekana una ugonjwa unaoitwa Chancroid, ni sexually transmitted Infection(STI) inasababibwa na bacteria wanaitwa Haemophilus ducreyi. Usiichanganye na Kaswende(Syphilis) ambayo kidonda chake huwa hakiumi(painless chancre)...Ushauri nenda na mwenzi wako kwenye kituo chochote cha tiba cha Umati au Marie Stopes(Vya serikali haviko friendly sana kwenye issues kama hizo).Kama mnasita kufanya hivyo wote kunyweni dawa inaitwa Azithromycin mara tatu kwa siku, kunywa kwa siku saba, na declofenac mara tatu kwa siku, kwa siku tano.Ukipata shida kuelewa, nitumie private message(PM)
 

Ni-pm mimi nitakusaidia
 
daah jamani madactari wanafaidije wenzetu? sasa hiyo papuchi ataikagua wewe ashikeshike atomase wewee!!!!!!!!!!
 
akifanyiwa vipimo that means ajua tatizo ni nini na dawa ipi atumie,be curious enough to relate things

Kufanyiwa vipimo??? au kupimwa??? Mwenye matatizo hapo ni nani? Wewe ndo unatakiwa uandike vitu kwa uwazi ueleweke badala ya kuandika nusunsu. Kwa nini mimi nianze ku-relate things wakati havi-relate?
 
Kufanyiwa vipimo??? au kupimwa??? Mwenye matatizo hapo ni nani? Wewe ndo unatakiwa uandike vitu kwa uwazi ueleweke badala ya kuandika nusunsu. Kwa nini mimi nianze ku-relate things wakati havi-relate?

anyway seems ur not curious enough,gud day man
 
Mambo ya kununua dawa bila kujua kwa undani ugonjwa uliokuwa nao si mazuri maana unaupa nafasi ugonjwa kuendelea kuwepo na si ajabu kuwa na madhara makubwa zaidi. Nenda hospitali wakusaidie ili upone kabisa. Pole sana na jitahidi kuviepuka au kupunguza sana matumizi ya vyoo vya public.
 
mh, hizi consultation tunazofanya humu siku hizi mbona balaa!! kweli mgonjwa anatibiwa empirically kiasi hiki wakati ishu yenyewe inaonekana sensitive kiasi hiki?! makubwa, haidhuru kwenda hospitalu mama... tutakuja kulaumiana siku moja
 
By Chokochoko



mhh nipeni basi mtazamo wenu kabla sijafika hospitali, je huu ni ugonjwa wa zinaa?
Wee, mbona unapaniki? Umedoo nje wewe. Mwambie Mumeo.
 
Aaaaaaahhhhhh si lazima unywe ......sina mbavu
 
Suluhisho ni kwenda hospital.Hata kama hapa JF kuna madokta sio kila kitu wanaweza kusaidia,magonjwa mengine yanafanana sanaa ktk maelezo.ili daktari akusaidie inabidi achukue vipimo ndio ajue dawa za uhakika za kukuandikia.Get well soon.
 
Reactions: BAK
Nenda duka la dawa na umwambie muhudumu akupatie dawa ya kurudisha uvimbe atakupatia dozi ni alfu kumi nunua hata nusu dozi itakusaidia sana tu
 
ndio ugonjwa gani tena huo jamani au ndio ugonjwa mpya ulioingia huwiii jamani mimi nisaidieni nitumie dawa gani basi ya hiyo herpeszoster
Ha ha ha wewe dada inaelekea muoga sana, kuwa na amani nenda hosp!! kama unaogopa kumuambia mmeo basi nenda mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…