Madokta nisaidieni maana ni ghafla sana nilianza na kuwashwa sana ikafata uchafu mweupe nikajua ni fangasi maana natumia choo cha public sana, nashanga kimeota kijikipele kama cha homa hapa juu kabisa kwenye kimisi, ndio tuseme nimepata magonjwa ya zinaa? sijawahi toka nje ya ndoa ni mume wangu tuu na yeye sio mgonjwa, nisaidieni jamani hii nini tena naninywe dawa gani ili nipone haraka nimekosa raha ghafla.