connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,842
- 3,922
1. Katika harakati za utafutaji nilikutana na lishangazi la Kireno likiwa linafanya kazi kama Meneja Hoteli Dar (Masaki).
2. Aisee ana nundu sio poa. Nikajenga ukaribu akiwa bongo. Nikaanza kumwaga moto wa kutosha, baada ya Mkataba wake wa kazi kuisha akarudi kwao.
3. Majuzi kanitumia tiket nimekuja Porto (kwao) kutokea Dar nilipanda Ethiopian airlines mpaka ADDIS Ababa hapo nikachukua pipa lingine (Ethiopian) mpaka Frankfurt hapo tena nikapanda Lufthansa hadi Porto.
4. Wareno wamechoka pengine sawa/zaidi ya bongo.
Dini Katoliki full kusali
USHAURI
Si kila mzungu katoboa kimaisha, tuliza akili kabla hujavamia mishangazi ya kizungu. Mengine liability halafu sio watamu wala wasafi. Tunakamua tu kwa sababu ya kutokujua.